Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini.
Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja
Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa sheria mfu.
Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya.
Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata.
Vitendo hivi...