Leo nimewawazia sana madada zangu wa JF
Toka niiingie sijawahi sikia mkaribisho wa harusi hadharan
Nawaza mmeamua kuwa ma single maza ama ndio ile mmeiga kimya kimya tukutane nyumban
Otherwise nawatakia ndoa njema wote wanaosubiria mume (sio wa mtu)
MUNGU AKAWAPE WA KUFANANA NA NYIE...
Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kutafuta njia ya kupata ujauzito bila mafanikio, kuna tiba rahisi, salama na ya asili ambayo inaweza kukusaidia. Hii ni njia ambayo wamama wengi wameitumia na kufanikisha kupata mtoto.
Unachohitaji si vitu vingi. Ni viungo vya kawaida vinavyopatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.