•Mh Katibu Mkuu inakuwaje mtumishi anapata total score 65 lakini progressive 00% shida kubwa inakuwa kwa nani?
•Maana yake huyu mtumishi hajakuwepo kazini mwaka mzima?je yule anaemsimamia aliwahi kumpa onyo la kutotimiza wajibu wake?je hakuna njia mbadala ya kuthibitisha huyu mtumishi alifanya...
Mimi ni mtumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).
Kumekuwepo na changamoto ya kukosekana kwa usawa na haki katika upandishaji wa madaraja na mabadiliko ya majukumu kwa watumishi, kinyume na miongozo ya utumishi wa umma.
Kwa mfano, kuna watumishi ambao...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo.
Cha kusikitisha ni kwamba...
Anonymous (b4b1)
Thread
kazi
kero
kupandamadaraja
mbalimbali
msaada
naomba
sana
serikali
vigezo
wako
KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025
VIGEZO VYA PEPMIS VI
Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali imewezesha baadhi ya watumishi kupanda na wengine baadhi kuachwa kwa sababu zile zile za kimfumo ambazo bado...
Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali imekubali kupandisha walimu madaraja bila kutumia kigezo hiko kwani bado huu mfumo ulikuwa mgeni kwa...
Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi.
Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo.
Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
Serikali iliahidi kupandisha madaraja watumishi ambao walipanda madaraja kuishia 2017 kurudi nyuma, na kwamba katika mshahara wa mwezi Mei 2022 wote wliostahili wangebadilishiwa mshahara.
Mimi ni miongoni mwa ambao hawakubadilishiwa. Tatizo ni nini? Kuna kauli ya serikali juu ya ambao...
Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale mliyoafikiana na serikali.
Hoja yangu ni hii CWT imesema serikali imeridhia kuwapa madaraja ya Mseleleko...
Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
Kiukweli ni hali ya kusikitisha sana idara ya afya kushindwa kuwaweka kwenye orodha ya watumishi wanaopaswa kupanda daraja zaid ya watu 50.
Dhahama hii imewakumbuka baadhi watumishi wengi walioajiriwa kuanzia miaka ya 2015 na kurudi nyuma.
Katika kufuatilia kwangu nimeona watumishi hawa sifa...