Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu.
Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...