kuombea uchaguzi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    GE2025 Waislamu na Mashekhe wafanya Dua maalumu Dar kuombea Uchaguzi Mkuu

    Waislamu kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam asubuhi ya leo Oktoba 25, wamefika katika Msikiti wa Nurul-Hikma ulioko Mtaa wa Yombo, karibu na Mwembe Yanga, Temeke kwa ajili ya Kongamano la Amani na Dua Maalumu ya Kuliombea Taifa. Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, waandaaji wa dua na...
  2. Mafyangula

    GE2025 Zungu aongoza waaumini wa Kiislamu kuombea uchaguzi mkuu 2025

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu katika Kata ya Ilala, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2025 wamefanya dua maalum kuiombea Tanzania amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Akizungumza katika dua hiyo, Mbunge wa Ilala aliyemaliza muda wake ambaye pia ni anagombea tea...
  3. PAYE

    GE2025 BAKWATA waelekeza Waumini kufunga kuombea Amani kuanzia Oktoba 23 hadi Matokeo ya Uchaguzi

    Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi. Akizungumza wakati wa Kikao cha...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Alex Mshama: Tamasha la kuombea uchaguzi kufanyika mikoa 26 nchini

    Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo amesema tamasha litafanyika...
  5. A

    PreGE2025 Naibu Waziri Katimba aomba viongozi wa dini, Waumini, kuombea Taifa na Uchaguzi 2025

    Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Zainabu Katimba naye ametoa neno. Naibu Waziri huyo amewaomba viongozi wa dini pamoja...
  6. A

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
  7. A

    PreGE2025 Tamasha la kuombea uchaguzi mkuu 2025 laungwa mkono na hotuba ya rais Samia

    Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi cha uchaguzi. Akihutubia kwenye Baraza la Eid El Fitr kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar...
  8. A

    PreGE2025 Wadau wataka tamasha la kuombea uchaguzi mkuu liwe la imani zote

    Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao wapenda amani walisema kuwa, endapo tamasha hilo litahudhuriwa na watu wa imani moja...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Alex Msama atangaza Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu, litafanyika Aprili 20, 2025

    Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae...
Back
Top Bottom