kuomba kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Naomba kazi St Peters. Vigezo vyangu ni hivi hapa

    MImi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka kati ya 30-40. Sasa nimekua nikisikia kua St Peters kuna watu wazito ingawa kwa kukadiria itakua ni watu wa usalama hivyo nilikua naomba kazi hapo Wasifu -Elimu ya degree yenye GPA yenye mgawanyo wa nusu kwa nusu na total GPA(5) -Nidhamu kidogo...
  2. Msiache kujaribu kuomba kazi mara kwa mara

    Adverts Applied 8 Shortlisted 8 Interview Attended 5 Oral Interview Attended 1 Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea...
  3. T

    Muda wa kuomba kazi waongezwa hadi Novemba 07

    Habarini, Zile AJIRA za uwalimu, afya na kada nyingine zimeongezewa muda wa kuomba hadi tarehe 7 Novemba
  4. Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  5. Nimerudi tena kuomba kazi

    Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini. Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki. Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu. Msinichoke lakini. Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za...
  6. Ombi la kuomba kazi ajira au kibarua

    NAOMBA NAFASI YA KAZI Habari, wakuu Mimi ni kijana mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu ya kazi. Ingawa sina elimu ya vyeti, nina uwezo mzuri wa kujifunza kwa haraka na kufanya kazi kwa bidii. Natafuta kazi ya aina yoyote halali kama: Usafi wa ofisi Kazi za ndani Kusaidia mafundi...
  7. Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  8. A

    Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
  9. H

    Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili. Asanteni
  10. A

    KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…