kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Hello Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe mkristu,kabila lolote. Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuoa

    Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwajiriwa mpya katika jeshi Fulani Nina miezi 2 elimu degree ya upelelezi na Usalama ,Nafanya kazi kwenye taasisi ya jeshi Fulani natafuta Binti wa kuoa awe chini ya miaka 23 awe muislamu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanawake wa kuoa sasa. Wanawake ambao hawajaathiriwa na feminists, wako wengi mikoani

    Nenda vijiji vya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mbeya, Ruvuma, Rukwa na Katavi utakutana na wanawake waliolelewa na wakaleleka. Kila mwanaume kwao ni kama mfalme. Hawathubutu kamwe, huona soni na hivyo kutoka ndani mioyoni mwao huonesha heshima ya hali ya juu sana kwa kupiga magoti...
  4. JamiiForums Tanzania Ila mambo ya kuoa na kuolewa ni magumu mno

    Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto. Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

    Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa...
  6. JamiiForums Tanzania Sifa na vigezo vya Kisheria na Kiimani ili uweze kuoa Mke

    1.Katika Uislamu, Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na: 1. Kuwa na Imani ya Kidini (Ucha Mungu): Mwanamume au mwanamke anayetarajia kuoa anapaswa kuwa mcha Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.

    Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze. Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani. Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu. Stand as a man...
  8. JamiiForums Tanzania Katika kuelekea safari ya kuoa maoni nayo kutananayo

    Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda", Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji"...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

    Natumaini mkopoa? Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale waliowahi Kuishi pamoja bila ndoa Rafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mke na...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo; Umri: 30 Elimu: Degree Mahali ninapoishi: kaskazini mwa Tanzania Dini: Mkristo Kazi: muajiriwa serikalini Sina mtoto wala...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine!

    Hakuna tena sababu ya kukaa kwenye mahusiano kwa miaka 5 halafu mwanaume anakwambia anataka kuoa mwanamke mwingine! Dalili zote za mwanaume ambaye anakutumia zinaanza kuonekana ndani ya miezi 3 ya mahusiano. Shida inakuja tu kuwa, baada ya miezi 3 ya mahusiano, wanawake wengi ni vigumu kuona...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  13. JamiiForums Tanzania Kulikoni siku hizi kuoa mpaka kwanza binti apigwe mimba?

    Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo? Hata hivyo, ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu. Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kijana anataka kuoa

    Mpeni wosia kidogo kijana wetu Ndio kaanza life tu anataka kuoa waanzie from scratch.
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

    Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano wa ndoa kitu ambacho si kweli kwa asilimia mia moja Kwanza ieleweke sio kwamba hatupendi wanawake...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kasi ya vijana wa kiume kupungua kuoa si kwajili ya kuogopa majukumu, Kuwaoa wanawake wa sasa kikristo ni kujipiga kitanzi

    Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida, Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
  17. JamiiForums Tanzania Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

    Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Derby kati ya waliopo na waliotoka kwenye ndoa VS wanaotaka kuoa

    Wanajf habar gani? Mambo niaje pande hizo. Kazi iendelee na kwingine people powers. Kimsingi ni kwamba hii vita ni kali 1. WALIO NDANI YA NDOA na WALIOTOKA KWENYE Ndoa wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji -Wengine wanasema wasiwasi ndo akili - Wengine wanasema akikupenda mama...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

    Ndugu salam Sishauri kijana ambaye hajaoa kuingia kwenye ndoa, wanawake wa sasa wamekua ni chanzo kikuu cha wanaume kufa mapema kwa magonjwa hatari yatokanayo na msongo wa mawazo Nayasema haya kwasababu 1: Wanawake wa sasa kwenye uchumba wanakuonyesha ni wema kumbe ndani yao ni chui...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake ndio wanaongoza kwa kushauri wanaume kuoa?

    Naendelea kukusanya data kila siku. Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…