Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu.
Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo.
Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash.
Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba...
Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia...
Naomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.
Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.