Habari zenu Ndugu zangu.
Niliamua sasa nianze kumwomba Mungu ili nione kama maisha yangu yatapata ahueni lakini wapi.
NB: Kazi nafanya na wala sitegemei miujiza , ila nilichofanikiwa ni kushika makalio ya hawa dada zetu na kupiga show, ambayo ni kawaida ya kila kiumbe hai wala si kitu cha...
Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu.
Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii.
Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
Sijui kwa nini watu wasio na hofu ya mungu wanaoenkana watu wabaya sana ukizingatia watu waliofanya na wanaofanya maovu makubwa katika jamii ni wenye dini na inayoitwa hofu ya mungu. Nafikiri mojawapo ya scam kubwa kuwahi kutokea duniani ni imani ya kwamba watu wenye hofu ya mungu ni wema sana...
Wadau hamjamboni nyote?
رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيماً
“Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40)
"Muhammad si baba wa yeyote...
Ushawahi kujiuliza nini hutokea unapomuamini Mungu kwa asilimia mia moja? Ngoja nikupe stori moja hivi.
Tunarudi katika karne ya 19 huko Bristol nchini Uingereza kulikuwa na mwanaume aliyeitwa kwa jina la George Muller. Huyu mwanaume aliamua kuanzisha kituo cha watoto yatima na tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.