kumkosoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  2. Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
  3. S

    Hakuna aliyeweza kumpinga au kumkosoa Hayati Dkt. Magufuli, tusiwalaumu watu ikapitiliza

    Kuna wimbi la kuwalaumu watu kuwa wakati wa Mheshimiwa Marehemu JPM hawakuweza kuitetea kweli au kuisema haki, hivi ni nani alikuwa na uthubutu wa kumpinga kumshauri au kumkosoa? Tuseme ukweli tutajieni watu waliokuwa na uthubutu wa wazi kabisa kumzungumza, Mheshimiwa Magufuli zaidi ya kumsifu...
  4. Je, Peter Msigwa aliwezaje kumkosoa ndugu yake Rais Magufuli?

    Peter Msigwa ulisimamia haki, Hukuogopa vikao vya familia na undugu wako na Hayati Rais Magufuli. Moja kati ya watu ambao wangeamua kuwa na kiburi basi ni Peter Msigwa angeweza fanya kiburi. Na hata angehamia CCM ndugu yake Magufuli angekupitisha Iringa mjini bila kupingwa. Hata ndugu yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…