Kwanza niweke wazi kuwa mimi nimelelewa na Mama tangu utoto wangu. Mama yangu amejitahidi kwa kila hali kunihudumia kwa kadiri ya uwezo wake hivyo naweza kusema nawapenda na kuwathamini wanawake kuliko wanaume.
Kukiwa na mgogoro wa Mwanamke na mwanaume most likely nitakuwa upande wa mwanamke na...
1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA
Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
Wakuu,
Katika aliyepewa tuzo pale kuna ataweka kitu ambacho kinaenda kinyume na Rais ama jambo la wapinzani ambalo wanajua litamkera Rais?
Mwananchi/The Citizen ikanyamazishwa shwaaaa na milioni 20 pamoja na washindi wa kategoria!
Halafu Rais Samia akamalizia na msumari wa mwisho; "Kuweni...
DUNIA sasa iko kasi, nchi kama Rwanda inawaza kujitanua kiuchumi na kijiografia, Wazungu watu wenye akili wanawaza kujiimarisha kiuchumi kwa kupata rasilimali toka mataifa mbalimbali, nchi za Asia nazo wanawaza namna ya kuvuna rasilimali toka kwenye mataifa ya wajinga.
Sisi Tanzania mpaka sasa...
Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za KMT, kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, binadamu wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima kwa ubinaadamu wake, asitweze utu wake!, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.