kukusanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

    Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi. Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni. Mimi naishauri...
  2. JamiiForums Tanzania TARURA Kiteto yapanga kukusanya Tsh 300 kila siku kwa bodaboda inayopaki pembezoni mwa barabara

    Kwema ndugu zangu. Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara. 1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi) 2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka) 3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia...
  3. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kisasa ndiyo sababu ya nchi za Ulaya kukusanya mapato kwa ufasaha

    Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya. Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…