Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe.
---
🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
Kukosa uvumilivu husababisha kuvunjika moyo haraka sana kwa sababu matokeo mara nyingi yanakuwa tofauti na matarajio yetu hiyo huwa ni kawaida kabisa kwa watu wengi ulimwenguni. Usihisi umerogwa na ukakimbilia mafuta ya upako na tunguli za Waganga)
Usivunjike moyo pale unapoona umefanya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.