kukohoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. loose Nut

    Chafya na kukohoa inazuilika tu

    Kupiga chafyana kukohoa inazuilika tu. Unakuta wanaume wazima mnashindwa kujizuia kikohozi na chafya kikikujia. Mwanamme vitu vidogo kama hivi vinazuilika tu. Kweli wanaume tumebaki wa chache.
  2. Youbettersleep

    Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  3. Waufukweni

    Video ya LIVE ya Rais Samia kwenye kilele cha mbio za Mwenge yaondolewa YouTube. Je, sababu ni kukohoa kwenye hotuba?

    Leo nilitaka kurudia kutazama tukio la jana la kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukumbu ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere, Oktoba 14 pale Mwanza, nimejiuliza maswali mengi kuhusu hili, kwanini video hiyo imeondolewa YouTube au kwasababu Rais Samia wakati akihutubia alikohoa mara...
Back
Top Bottom