kukimbiza mwenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kukimbiza mwenge wa uhuru kitaifa

    Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
  2. W

    PreGE2025 Susan Lyimo: Jambo pekee ambalo CCM wamebaki nalo ni kukimbiza mwenge mchana, wanadai unaleta amani basi waupeleke Congo

    Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko. Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu...
  3. evangelical

    Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

    Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla. Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mwenge wa Uhuru 2024 Wilaya ya Ludewa

    Mwenge wa Uhuru 2024 umewasili Mkoani Njombe, na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva- Mwenge wa Uhuru kukimbizwa Wilayani Ludewa Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa kwa Umbali wa Kilometa 93 Wilayani Ludewa; ukipitia Miradi 7 yenye...
Back
Top Bottom