Ukitembelea Nchi ya Japan kama mimi nilivyofanya Kuna mambo Mengi ya kushangaza kule😃!! Najua umeshtuka sio,
Nchi ya Japan miti haikatwi katwi hovyo hata kama Iko kwenye njia ya Eneo ambalo linapaswa barabara nyumba kujengwa, huweza kuhamishwa kwa uangalifu.
Badala ya kuharibu asili kwa...