kukamatwa kwa lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    Watanzania tutakuwa wajinga mpaka lini? Kukamatwa kwa Lissu, Jeff na wengine ni kutokana na misimamo ya NRNE si kingine

    Nguvu kubwa sana inatumika kuzima huu moto, Watu wameuawa, wengine wamejeruhiwa, wengine wamepewa kesi za uhaini na uhujumu uchumi, kisa tu wameonyesha msimamo kwamba tume ya uchaguzi si huru na reforms zinahitajika au kwa kifupi NO REFORMS NO ELECTION Kwa kusimama kwao katika haki imekuwa...
  2. W

    James Mbatia: Kukamatwa kwa Lissu na kufungiwa kwa kanisa la Gwajima ni athari za hofu

    "Huyu amemwaga damu, huyu yupo gerezani kina Tundu Lissu wapo gerezani wana wafuasi. Kila siku hamaki inatokea Juzi hapa tumeona mchungaji Gwajima matatizo yemapata ya kusema, hofu imetokea kanisa limefungiwa. Sasa huyu ni mtu mmoja aliyekosea kama Gwajima sasa unamfungia yeye kama yeye kama...
  3. W

    PreGE2025 ACT Wazelendo wawataka polisi wamuachie huru Tundu Lissu bila masharti

    "Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia maraa moja bila masharti yoyote ndugu Tundu Lissu" - Isihaka Mchinjita, Waziri Mkuu kivuli, ACT...
Back
Top Bottom