Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa Chadema waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, liko mbioni kutafuta chama mbadala kutimiza ndoto zao.
Soma pia: G55
Kundi hilo limewaambia waandishi wa habari jana Aprili 22 jijini Dar es Salaam kuwa...