kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ni kweli Hazina haijatoa fedha za kujikimu za Waalimu Singida DC, au zimeelekezwa katika matumizi mengine?

    Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la Malipo Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
  2. A

    DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  3. A

    KERO Changamoto ya Pesa za Kujikimu Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

    Habari wadau, Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council. Watu wanalalamika hawalipwi
  4. A

    KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  5. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
  6. A

    KERO Ajira mpya Wilaya ya Chamwino hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Ajira Mpya hatujalipwa pesa ya kujikimu katika Wilaya ya Chamwino Dodoma, sisi ni Intake ya Mwezi Machi hadi June 2025.
  7. A

    KERO Ajira Mpya Mtama DC hatujalipwa fedha za kujikimu na hatujui tutalipwa lini

    Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini. Kwa kweli tunapata shida sana. Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
  8. A

    KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  9. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH) hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
  10. A

    KERO Ajira Mpya Nzega DC hatujalipwa pesa ya kujikimu tangu Feb 2025

    Sisi watumishi wa ajira mpya katika halmashauri ya Wilaya ya Nzega yaani Nzega DC hatujalipwa pesa yetu ya kujikimu tangu mwezi Februari 2025 hadi leo
  11. A

    KERO Bukombe: Walimu wa Sekondari, AJIRA MPYA (2025) hatujalipwa PESA ZA KUJIKIMU

    Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
  12. A

    KERO Halmashauri za Wilaya za Kilimanjaro hazijatulipa posho ya kujikimu sisi Ajira mpya

    Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana Lakini, Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria. Tumewasiliana na wenzetu wa Halmashauri zingine tukagundua hili ni tatizo la Halmashauri zote za mkoa wa...
  13. A

    KERO Ajira Mpya Geita hatujalipwa fedha za kujikimu tangu Machi 2025

    Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu. Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
  14. A

    KERO Mbulu DC lipeni watumishi hela za kujikimu

    Kuna watumishi tumemaliza mwaka hatujalipwa fedha za kujikimu. Kuna baadhi wamekuja na hawana mda mrefu wameshalipwa kwani wanalipana kwa kujuana. Kuna wanaotakiwa kulipwa Tsh 150,000/= na Tsh 130,000/= per day lakini wanakatwa na kulipwa Tsh 80,000/= hiyo nyingine inaenda wapi? Kama sio kuiba...
  15. A

    KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

    Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
  16. A

    KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  17. A

    KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  18. A

    KERO Kuna watumishi hawajalipwa hela ya kujikimu MBULU DC

    Baadhi ya Watumishi ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya MBULU hawajalipwa hela ya kujikimu Kuna watu waenda kumaliza mwaka sasa hela imekuwa kaa la moto wanalipana Kwa kujuana. Kuna watu wanapaswa kulipwa Kwa rate ya Tsh 150,000/= wengine Tsh 120,000/= na Tsh Tsh 80,000/= kulingana na...
  19. Kipindi unajitafuta, michongo gani ulikua unapiga ili kujikimu kimaisha?

    Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi. Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni -Kuuza bando mtandaoni -Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto ) -uwinga (hii ilinifungulia milango mingi...
  20. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…