kujenga utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania Tujengeni Utamaduni wa Kuwajibika na Kuwajibishana: A lesson from Bulgaria!

    Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga. Inasikitisha kuona Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Ili kujenga utamaduni wa kufanyakazi

    Ili kujenga jamii yenye utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya taifa hili. Tunapaswa kupitia mabadiliko kadhaa moja ya mabadiliko hayo kama ushauri au pendekezo langu ni kupitishia sheria ya muda wa kazi kwa wafanyakazi katika taifa hili. Muda rasmi wa kazi utapaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…