Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania.
1. Tanzania- Russia Business Forum.
2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF)
Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi...