kuitoa ccm madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    Kuitoa CCM madarakani ni ngumu sana kwa kweli,labda atokee Rais chizi tu atakaeamua kuwa against na wao

    Just imagine baadhi ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wana kadi za CCM na ndio maana wanadiriki kugombea ubunge kwa ticket ya CCM wakuu wa mihinili ya nchi kama spika wa bunge na jaji mkuu nao kumbe ni wana CCM. Kwa kweli CCM ni ngumu kuitoa madarakani sababu wana back up kubwa sana.
  2. R

    PreGE2025 Mwenyekiti wa ngome ya Wanawake ACT Janeth Ritte atoa wito kwa wanawake kuungana kuitoa CCM Madarakani

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio yanayotokea nchini yanawaathiri wanawake ikiwemo kupotea kwa watoto " Wanawake amabao ndio wenye...
  3. Allen Kilewella

    Matumizi ya mitandao kama zana muhimu ya kuitoa CCM madarakani!

    CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani. CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania. CCM...
  4. Megalodon

    Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

    REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda; Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years. Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama. Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
  5. Knock life

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  6. G

    Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni kitu gani kinaweza kuja kuitoa CCM madarakani?

    Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki. Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi, Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani. Vyuma vikikaza sana Mpasuko mkubwa ndani ya CCM utaotengeneza chama kipya Muungano...
  7. Allen Kilewella

    PreGE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

    Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile. Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
  8. F

    Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena. Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania. Tundu Lissu...
Back
Top Bottom