kuisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  2. WHO: Corona inaweza kuisha mwishoni mwa 2022

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kwamba corona inaweza kuisha mwishoni mwa mwaka huu iwapo nchi zote duniania zitachukua hatua kabambe za kukabiliana na maambukizi. Kiongozi huyo wa WHO alilkuwa akizungumza kakitaka kikao cha 150 cha shirika...
  3. Baada ya kazi maalum kuisha uwanja wa Manungu utafungiwa

    Hii kazi maalum ya kuihujumu simba inafanywa waziwazi kabisa. Mchezo wa mbeya city dhidi ya simba ulijaa hujuma nyingi. Yanga watafanya kila aina ya michezo michafu ili simba isichukue ubingwa wake wa 23. Yanga sasa yupo na 22 sawa na simba. Za ndani kabisa, uwanja wa Manungu utafungiwa...
  4. Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  5. Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

    Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid. Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana. Zanzibar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…