kuikosoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  2. Moja ya Kazi za Bunge ni kuikosoa Serikali,Je wananchi kulikosoa Bunge ni haramu?

    Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes hiyo ndio Kazi ya wabunge na Bunge dhidi ya serikali. Je, ni makosa kwa wananchi kulikosoa Bunge...
  3. Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…