Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere?
Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
Hivi kuna namna tunaweza tukawa tunajiridhisha na hizi statistics zinazotolewa na hivi vyama vya siasa?
Yaani hapa tunapigwa mchana kweupe! Nani na akili zake timamu aache CCM, CHADEMA au ACT ahamie ADC?
=====================
Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimepokea zaidi ya...
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia...
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa...
Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act Wazalendo Said Mponda, wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi 2/4/2025 baada ya kumkabidhi kadi za uwanachama...
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak 😀😀
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Je, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?
Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra.
Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi wako halafu ukamuacha palepale kwa mfugaji kwa muda au milele aendelee kuzaa kutokana na sababu...
Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais.
Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti.
Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA.
Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza.
Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...