kufungua duka la dawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  2. L

    Ninahitaji kufungua duka la dawa muhimu

    Habari Naomba kujua wapi naweza kupata/kusoma kozi ya kuuza duka la dawa muhimu (addo) kwa dar es salaam, gharama za kozi na inachukua mda gani?
  3. kataza

    Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  4. Dollarssein

    Naomba ushauri: Nataka nifungue duka la dawa

    Jamani wanaforums, nina mtaji wa kutosha kufungua duka la dawa (pharmacy)na nataka kusimama mwenyewe kwenye biashara yangu ila sina elimu ya afya na nina mpango wa kuanza chuo kwa ngazi ya diploma. Sasa naomba mnisaidie ushauri je nikasome kozi ipi kati ya PHARMACY na CLINICAL MEDICINE kwa...
  5. Kunguru wa Unguja

    Nahitaji kufungua duka la dawa, naombeni msaada ni vitu gani nahitaji nivizingatie

    Habari ya muda huu wana jukwaa natumai mmeamka salama, sina mengi ya kuandika, ni kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Naombeni ushauri wakuu nina malengo ya kufungua duka la dawa Dar es salam, hivyo naombeni ushauri ni kiasi gani cha pesa nahitaji kuwa nayo ili niweze kufungua duka la dawa...
Back
Top Bottom