Wakuu,
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Brenda Rupia ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Februari 21, 2026.
Leo Februari 16, 2026, Jopo la Majaji watatu Mheshimiwa Jaji Fahamu, J. Mheshimiwa Jaji Chuma, na Mheshimiwa Jaji Kamana, limeamua kuwa kifungu cha 194 cha sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act (CPA) ni kinyume cha Katiba kwa kuwa kinampa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.