kufanya mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafanya mazoezi sana ila nazidi kuongeza uzito zaidi, nitakuwa nakosea wapi?

    Nyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS ziziongezeka kuliko kabla sijaanza Bora hata nisingepiga tizi sioni faida yoyote ya mazoezi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…