Habari ya Jumapili waungwana!
Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!
Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
Katika dunia ya leo, watu wengi wanatamani kuishi maisha marefu na yenye baraka. Kwa sababu hiyo watu wana struggle kutafuta njia zitakazowasaidia kuishi miaka mingi kupitia tiba, lishe bora, mazoezi ya mwili au kuwa na ulinzi mkali. Hata hivyo, bado tu tunashuhudia watu wengi wakifa mapema sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.