Nadhani wote mmemsikia Paul Makonda kuhusu mpambano wa kuelekea 2030 kwenye kiti cha Urais kupitia ccm.
Makonda kwa madongo ya leo atakuwa anamlenga nani haswa?
Ila cha kusikitisha leo ni takribani miezi mitano tangu waingir madarakani ila vita ya Urais 2030 ni kama ishashika moto.
Hawa jamaa...
Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu.
Nini mnabidi kufanya ?
Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na...
Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90.
Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani.
Chadema mwaka huu...
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea.
Muundo wa chama na muundo wa serikali unapaswa kuwa tofauti ili kuhakikisha kwamba kila moja inafanya kazi kwa ufanisi bila...
Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani
==
Freeman Aikaeli
Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha.
Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.