Akiwa anazungumza hivi karibuni content creator kutokea Kenya Cassypool amesema:
"Lazima tuketi tuongee umuhimu wa amani kwenye kanda la Afrika Mashariki ni juhudi zetu kwa pamoja kuongea na kujua jinsi tunaweza kuweka amani katika kanda la Afrika Mashariki ama jinsi tunavyoweza tumia mitandao...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani.
Hayo ameyabainisha leo katika kongamano la Maafisa...
Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
afya
amaniamani na mshikamano
baada
dola
halali
hapo
haya
hii
jamii
kudumishaamani
macho
mapinduzi
mimi
moto
nchi
njia
uchaguzi
unajua
utekaji
viongozi
vyombo
vyombo vya dola
wapumbavu
Ndugu wananchi wenzangu,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa yote yaliyotukuta. Mungu awalaze pema vijana wetu waliopoteza maisha kwenye harakati hizi za uchaguzi haramu.
Vile vile napenda kuchukua fursa hiii kuzungumza nanyi kama ndugu, marafiki na kizazi kinachobeba matumaini ya...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imewataka waandishi wa habari mkoani Tabora kufuata miiko na kanuni za uandishi wa habari kwa kuzingatia usawa, kuepuka matumizi mabaya ya lugha ili kudumisha mshikamano na amani hususani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.