kudharau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ampa Onyo kali Mwita Waitara kutorudia kudharau madaraka ya Spika

    Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza. Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

    Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan. Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake. Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio ya Mwanamuziki Lauryn Hill: Usipuuze na kudharau watu na Usikate Tamaa

    Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii teua tengua teua ya Rais Samia iwe funzo kuwa ukiona Umeteuliwa usianze Kujisikia, kusahau ulikotoka na kudharau Watu

    Waandishi wa Habari wa Tanzania mkitaka Teuzi kwa Awamu hii ya Kulazimisha ya Sita ( wakati Kikatiba bado ni ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ) hakikisheni mnatoke BBC, Azam Media, IPP Media na TSN tu pekee. Kuna Msemaji Mmoja ( Bingwa wa Majungu ) Serikalini hakupenda Uteuzi wa Mtu na...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…