kuchukua fomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mgombea Urais Zanzibar atinga na Bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
  2. K

    GE2025 Dkt. Mwigulu atimba na bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. #KaziNaUtuTunasongaMbele.
  3. K

    GE2025 Dkt. Homera asindikizwa na mamia ya wananchi wa Namtumbo kuchukua fomu ya kugombea ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  4. K

    GE2025 CCM Vunjo yashikamana kuelekea oktoba 2025, mamia wajitokeza kumsindikiza Enock Koola kuchukua fomu ya ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Vunjo Enock Koola, leo Agosti 26, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka
  5. GE2025 CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto, ametangaza rasmi ratiba ya mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, akieleza kuwa mgombea husika atakwenda kuchukua fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Amesema siku ya zoezi hilo muhimu...
  6. K

    JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!!

    JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!! Wana Vunjo wote na Watanzania kwa ujumla, jambo kubwa limewadia! Leo tunapiga mbiu ya mgambo: Kipenzi cha Wanavunjo, Enock Koola, kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  7. GE2025 Ng’ombe 200 wachinjwa kwa ajili ya wananchi wa Arusha kumsindikiza Makonda kuchukua fomu

    Wananchi mbalimbali na wanachama wa chama cha mapinduzi wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza mgombea ubunge kupitia chama hicho kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya Ubunge. Hata hivyo sherehe hizo zimepambwa na vyakula ikiwemo nyama na ng'ombe 200 wamechinjwa kwa ajili ya kusherekea.
  8. GE2025 Salma Kikwete achukua barua ya utambulisho CCM, kuelekea INEC kuchukua fomu ya ubunge Mchinga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho. Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
  9. GE2025 Zoezi la kuchukua fomu Udiwani na ubunge laanza rasmi Mbarali

    Zoezi la uchukuaji wa fomu nafasi za Ubunge na Udiwani, limeanza leo rasmi kwa baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya, huku uteuzi wa wagombea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chaumma ukisubiriwa kwa hamu kujua watakaoteuliwa rasmi kugombea nafasi...
  10. R

    GE2025 Mgombea Urais UDP afika INEC kuchukua fomu

    Wafuasi wa Chama Cha United Democratic Party, UDP wakiingia ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Saumu Hussein Rashid leo, Agosti 15,2025
  11. GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na...
  12. R

    GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha Kijamii (CCK) awasili kuchukua fomu INEC

    Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025
  13. GE2025 Mtazamo wa Afande Sele kuhusu chama alichokiita "magirini"

    Anaandika Afande sele ,✍. Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽 Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata...
  14. W

    GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha UMD, Mwajuma Mirambo na mgombea mwenza watinga INEC kuchukua fomuu

    Wafuasi wa mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha UMD wakimsindikiza mgombea wao Mwajuma Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Kwa ajili kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo. Source EATV...
  15. B

    Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

    09 Agosti 2025 Mtaa wa Kajificheni Intaneti HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025 https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais Kwa...
  16. GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  17. B

    GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
  18. GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

    Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
  19. B

    GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  20. GE2025 Wanachama CCM wajitokeza kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…