Mimi ni Mwl na nina miaka minne kazini niliajliriwa 2022. Nina mke ambae nilimuoa mwaka 2020 na nimebahatika kuzaa nae watoto wawili mmoja wa kiume miaka 4 na mwingine wa kike tarehe moja April anafikisha miaka miwili.
Kuna mkasa umeniumiza sana nimeamua kushare maumivu na wengine kwenye...
1.Kunyimwa tendo la ndoa.
2.Kauli mbaya kutoka kwa mke ,
3.Dharau kutoka kwa mke ;
4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi.
4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine.
5.Mwanamke kuwa mchafu.
6.Mwanamke kuwa na bond kubwa na familia aliyotoka.
7.Mwanamke kukosa maono na mipango...
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.