kuchapwa fimbo 70

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Atundikwa juu ya mti bila nguo na kupigwa fimbo 70 kisha kubanwa sehemu za siri kwa koleo la kuhasi mifugo akituhumiwa kuiba mahindi

    Kijana William Mbise (28), mkazi wa Wilaya ya Arumeru, Kata ya King'ori, Kijiji cha Kirenga, amepoteza maisha kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuchapwa fimbo 70 kama adhabu ya kimila iliyotekelezwa na vijana wa rika lake wa kabila la Kimeru, kutokana na kutuhumiwa kuiba mahindi yaliyokuwa shambani...
  2. Waufukweni

    GE2025 Arusha: Waliosema Rais Samia asichanganye Siasa na Mila, walipa faini ya Dume la Ng'ombe na kukwepa kuchapwa Fimbo 70

    Vijana wawili wa jamii ya kimasai Mkoani Arusha wamepigwa faini ya Dume moja badala ya kuchapwa fimbo 70 baada ya kumkashifu Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika eneo la kata ya Elerai Mkoani Arusha. Akizungumza katika Mkutano wa Mila ulioitishwa ili kulaani kitendo hicho Kiongozi wa...
Back
Top Bottom