kuboresha taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    PreGE2025 Mkurugenzi Kailima awaita Wananchi wa Dar kujitokeza kuhakiki, kuboresha taarifa zao Daftari la Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia ndani ya SGR Dar-Dodoma, kuboresha taarifa zake za Mpiga Kura

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Kailima awataka Wananchi wajitokeze kuhakiki, kuboresha taarifa zao, atembelea Vituo vya Wapiga Kura - Tabora

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akiwasaidia wananchi kuhakiki majina yao kabla ya kwenda kuboresha taarifa zao katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura, Ofisi ya Kata ya Isevya, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, wakati alipotembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa...
  4. Roving Journalist

    PreGE2025 Dkt. Anna Henga: Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba

    Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye mchakato wa kuwapata Viongozi Bora wa Nchi na Jimbo lako. Anasema Dkt. Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  5. Erythrocyte

    LGE2024 Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura

    Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
Back
Top Bottom