kuasili mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jifunze Taratibu za Kuasili Mtoto (Podcast)

    Pata elimu juu taratibu za kuasili mtoto nchini Tanzania (Child Adoption), 👶🏽sikiliza MAELEZO PODCASTS 🎙️Tunapatikana katika audio channel zote 📌 https://open.spotify.com/episode/6KZNCZnEwTcFxgCQNR0hM0?si=2BlFR_VgT2inuUbeL6U4zw&utm_source=copy-link
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

    Tayari nina mtoto wa kiume niliye adopt 2016 akiwa na miaka mitatu ila ilikuwa kwa njia za kienyeji. watoto wetu mimi na wife tunao watatu hadi sasa, malengo wawe wanne, waku adopt tunahitaji kuongeza wa ziada. Ni jambo la kawaida sana kwa watu wa nje ku adopt waafrika hivyo na sisi tunahitaji...
  3. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Wasaalam Wana Jukwaa wote. Kwa aliyebarikiwa neema ya Kulea watoto kwa malezi ya kambo au kumuasili kisheria awe wake; UTARATIBU; Baada ya kuwasilisha maombi Halmashauri; 1. Afisa Ustawi wa Jamii atakutembelea na kufanya tathmini. 2. Taarifa itawasilishwa kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii...
Back
Top Bottom