kuagiza magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Uzi maalumu wa kuagiza magari toka Japan na mikopo yake

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  2. M

    Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

    UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI. Habari Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo...
  3. Kwani Kodi za Kuagiza Magari zimeshuka?

    Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini Kodi zimeshuka?
  4. Mnaoagiza magari mmesikia hili

    Hakuna maneno mengi acha niwaweke video msikilize wenyewe Ova Mshana Jr Extrovert RRONDO Black Sniper Erythrocyte
  5. M

    Kwa wenye uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu katika jukwaa hili Kwa lengo kuu Moja kutoa msaada na huduma Kwa wale wote ambayo watakuwa wanahitaji kuagiza magari nje ya nchi Mosi watapewa ushauribwa kitaalamu na kuweza kuchukua uamuzi WA busara lkn pia watapewa Elimu ya Kodi ili kujua kipi wafanye kabla ya...
  6. Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

    Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15. NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
  7. M

    Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  8. K

    Kampuni ya kuagiza magari ya Orbit imekwenda kinyume na makubaliano yetu katika ununuzi wa gari

    Hii ni kampuni inaitwa Orbit Group Limited (Orbit tz) inayoagiza magari kutoka nje ya nchi. Biashara hio inahusisha pia kutoa mkopo wa mpaka miaka miwili ili kukamilisha gharama ya gari. Sasa hawa watu, kuna taarifa wanamficha mteja na wanakuja kukwambia baadae sana ambapo pengine unaweza...
  9. Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  10. D

    Kuagiza magari

    Waungwana habarini, Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje. Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi. Naomba tuwasiliane Normal/Whatsapp 0757520276 Au Ntumie namba yako PM nkutafute Au namna nyingine yoyote unayoona inafaa.
  11. Mara paaap ushuru wa kuagiza magari 2024 umeshuka

    Nitafurahi sana. Hasa ukishuka kwa angalau 20%. Huu ushuru wa magari chakavu wa sasa hauna uhalisia. Uzi tayari
  12. Magari mazuri haya hapa Usiagize tena Japan

    TOYOTA MARK X(EBB)⚡️ YEAR:2005 ENGINE CAPACITY:2490Cc ENGINE CODE: 4GR KILOMETER:49,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER PRICE/BEI:13,800,000 MILLIONS☎️☎️🚘👍.0711707070 ✅🤝
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…