korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi 15 zisizo na maambukizi ya COVID-19 duniani

    Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
  2. Korea Kaskazini yajaribu kombora jipya la masafa marefu lenye uwezo wa kupiga Japan

    Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu. Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA. Jaribio...
  3. Utata wagubika kupungua uzito kwa Kim Jong-Un

    Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari. Korea Kaskazini...
  4. Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  5. Fahamu hili kutoka nchini Korea kaskazini

    Nchini Korea kaskazini, watu walo zaliwa tarehe 8 mwezi wa 7 na tarehe 17 mwezi wa 12 hawaruhusiwi kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa sababu viongozi wao Kim jong I na Kim II_sun walikufa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…