kombe la shirikisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  2. Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  3. VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  4. Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

    RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa 1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania. 2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi 3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa...
  5. Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  6. Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

    Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali... Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
  7. Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) tangu Mwaka 2000

    Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000 2025: Simba / Berkane ? 2024: Zamalek SC (Misri) 2023: USM Alger (Algeria) 2022: Berkane (Morocco) 2021: Raja Club Athletic (Morocco) 2020: Berkane (Morocco) 2019: Zamalek SC (Misri) 2018: Raja Club Athletic (Morocco) 2017: TP...
  8. Takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Final kombe la Shirikisho

    Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili. Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
  9. Simba ikikosa ubingwa wa CAF Shirikisho ni kwa sababu mbili kuu

    Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa usahihi sehemu ambapo klabu au timu imeteleza. Wakati timu ikijiandaa kwenda Morocco kwa ajili ya mechi...
  10. Naona kuna timu mashabiki wake wataisusia fainali ya pili la kombe la shirikisho

    Najua mahaba ni makubwa mno kiasi kwamba hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, lakini wakati utaongea vizuri. Mechi ya fainali inaishia Morocco na kuna mtu anaenda kula kono la nyani Hii kitu ndio itawatia uvivu kwenda uwanjani mechi ya pili kwani uwezekano wa kupindua meza autakuwepo kabisa...
  11. Ijue historia: kikosi cha simba msimu wa 2024-2025 kilichofuzu fainali za kombe la shirikisho barani africa cafcc. 2025

    Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025. KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205. kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya wachezaji na nchi zao: GOLIKIPA 1. Mussa Camara🇬🇳 2. Aishi Manula 🇹🇿 3. Ally...
  12. R

    Kinachowauma Yanga ni Kombe la shirikisho kufutwa huku Simba ikienda kuhitimisha kwa kuipa nchi Kombe kwa mara ya kwanza, Medali zitakuwa takataka

    Kombe la shirikisho limefutwa rasmi. https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/ Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha nchi kwa kushinda na kuwa timu ya kwanza nchini kuleta kombe la kimataifa la CAF. Yanga waliwahi...
  13. Simba mkitaka kuchukua kombe la shirikisho! Mpanzu, Kibu na Ahoua waachwe Bunju hawa ndio wanaohujumu timu yenu

    Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka. Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha, camera na ujiko Uchezaji wao ni kama wa boka au kibwana shomari tena afadhali boka na kibwana maana...
  14. Yanga haikuwahi kushiriki Kombe la shirikisho?

    Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF? Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa ilikoshindwa kufuzu kwenda hatua ya Makundi Klabu Bingwa?
  15. Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

    Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
  16. Timu mbili kutoka Kundi A katika Kombe la Shirikisho zatinga nusu fainali

    Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara. Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali. Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali...
  17. GSM anaharibu kombe la Shirikisho

    Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF. Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia. Mimi ni mzee wa Simba.
  18. Kwa soka la Bongo Fadlu Davis akifungwa na Yanga na akatolewa Kombe la Shirikisho anafukuzwa

    Habari! Kwa mfumo wa soka la Bongo hapa hakuna mabishano na ukibisha labda tu uamue ila ki uhalisia Kwa soka la Bongo linavyoendeshwa Kwa Hisia Kali za Mashabiki Tena kuangalia upande mwingine wanawasema vipi. Tegemeeni Fadlu kufurushwa endapo atapata matokeo Mabovu vs Yanga na akatolewa na Al...
  19. Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

    Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni: Simba SC...
  20. M

    Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…