kodi laini za simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nchi ina hela hii, Laini za simu zilizosajiliwa zimefika milioni 90.4 wakati watanzania tuko milioni 64, Unamilikije laini mbili kama huna pesa?

    Hivi mnajua lakini, Rais Samia ametengeneza mkakati wa kiuchumi wa Kidijitali wa miaka kumi (2024-2034) na Mkakati wa Taifa wa Brodibandi (2021-2026) ambao utarahisisha na kuharakisha huduma na kuongeza pato la Taifa, Katika kufikia uchumi huo, miundombinu mbalimbali imeimarika ndani ya kipindi...
  2. OLS

    Kwanini wanakomalia laini kukatwa kodi?

    Mara ya kwanza mbunge wa Gairo alishauri laini zitozwe TSh 200 kila mwezi. Na sasa huyu mwingine ameshauri laini itozwe Tsh 50. Kwanini wanaona ni muhimu kutoza laini za simu? Ni rahisi lakini je kitendo hiki ni halali kwa watanzania ambao wanahangaika kumiliki simu nk. Je hatuoni kuwa...
Back
Top Bottom