kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natamani sana Kocha Nabi anipangie Kikosi hiki Jumamosi tarehe 3 July, 2021 ili niupige mwingi mno kisha nipige nyingi kwa Mkapa

    1. Farouq Shikalo 2. Shomary Kibwana 3. Adeyum Saleh 4. Dickson Job 5. Bakari Mwamnyeto 6. Tonombe Mukoko 7. Zawadi Mauya 8. Feisal Salum 9. Saido Ntibanzokinza 10. Yacouba Sogne 11. Tuisila Kisinda Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, kocha wa Yanga Nasreddine Nabi anajichimbia kaburi

    Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga. Wenzao watawachukia. Wachezaji hao wataanza kulalamikia viwanja vibovu hapo itabidi wapangwe...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Mtibwa Sugar anafundisha mpira wakati wa mechi; huko mazoezini hafundishi?

    Wakuu habari MWADUI VS MTIBWA Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila hatua toka kupokea mpira atulize vp anawaelekeza nan ampe pas mchezaj akikosea utamsikia akilalamika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…