kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

    Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
  2. JamiiForums Tanzania The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa uogeleaji

    Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji, makocha na wazazi kupitia programu maalumu iliyoandaliwa na Monti International School. Ujio wa Ben...
  4. JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga tusifanye makosa kwa kocha tena huyu kocha mrudisheni

    I salute you kinsmen Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu. Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa. Walioingia...
  6. JamiiForums Tanzania Xabi Alonso atangazwa kuwa kocha mpya wa Chelsea FC

    Chelsea Football Club is delighted to announce the appointment of Xabi Alonso as Manager of the men’s team. The Spaniard will begin his role on July 1, 2026, having agreed a four‑year contract at Stamford Bridge. One of the most respected figures in the modern game, Alonso arrives at Chelsea...
  7. JamiiForums Tanzania Xabi Alonso kuwa Kocha mpya Wa Chelsea

    Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Xabi Alonso kama kocha wao mpya Je ni Chaguo Sahihi!? Xabi Alonso ni kocha bora sana kimkakati, na baadhi ya watu wanasema angepaswa kusubiri kazi bora zaidi. Lakini kivutio kikubwa kwake hapa ni kwamba pia anataka kuwa na mamlaka makubwa badala ya...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
  9. JamiiForums Tanzania Austin Pillado - Kocha bingwa wa michezo ya uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10

    HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana Jumapili kwa ajili ya kuendesha kambi maalumu ya mafunzo ya kuogelea kwa muda wa siku 10. Kambi hiyo inayofanyika jijini Dar es Salaam...
  10. JamiiForums Tanzania Chelsea yamtimua Kocha Liam Rosenior baada ya mfululizo wa matokeo mabovu

    Klabu ya Chelsea FC imemfuta kazi kocha wake mkuu, Liam Rosenior, kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo ndani ya klabu hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa leo Jumatano Aprili 22, 2026 baada ya Chelsea kupoteza michezo mitano mfululizo ya ligi bila kufunga hata bao moja, hali iliyozua shinikizo kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa 6-0 na Yanga, Mbeya City yamtimua na Kocha Mexime na Wasaidizi wake

    Mbeya City FC imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfa na Kocha wa utimamu wa mwili Francis Mkanula. Tunatambua na kuthamini jitihada walizofanya katika kuboresha utendaji wa timu yetu na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
  13. JamiiForums Tanzania Gary Neville aiambia Man United iajiri kocha mpya mwenye uzoefu kuliko Michael Carrick

    Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead. Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe kocha wetu ana kamdomo buana 🤣

    Chelsea’s manager, Liam Rosenior, says he should already be considered among the top five Premier League managers of all time.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  16. JamiiForums Tanzania Wengi wanaomlaumu kocha wa SENEGAL ni kundi liloweka mikeka(BETTING )na kumpa mwarabu

    Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani. Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
  17. JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Manchester United yamfukuza kazi Kocha Amorim kwa kuwasema ‘mabosi’ vibaya

    Club ya Manchester United imetangaza kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Amorim Hatua hiyo imekuja baada ya kikao kilichofanyika leo asubuhi kati ya uongozi na kocha huyo ====== Manchester United imefuta kocha mkuu Ruben Amorim, baada ya kupewa kibarua hicho Novemba 2024. Amorim aliiongoza...
  19. JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  20. JamiiForums Tanzania Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

    Kagoma, kibu, chamue na kante sio wakuwekwa benchi na akina maema, budo, kamara, na wengine. Kiukweli kama Dp world anataka timu mpeni tu. Huyu budo tunae mwaka sasa hana chochote basi tu. Mnatukosea sana washabiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…