CHEMBA
Wananchi 268 wamehudumiwa katika Kliniki ya Ardhi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ndani ya siku tano tangu kuanza kwa huduma hizo Oktoba 5, 2026, huku hati miliki za ardhi 181 zikiwa zimesajiliwa na nyingine 92 zimechukuliwa na wahusika.
Akizungumza kuhusu mafanikio ya kliniki hiyo...
Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba kwa siku tano.
Kliniki hiyo iliyoanza Oktoba 5, 2026 katika Ofisi za Ardhi Wilaya ya Chemba...
TABORA: Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi na kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi.
Akizungumza...
Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kwa wingi katika kliniki ya ardhi iliyofanyika mkoani humo, ambapo huduma mbalimbali za sekta ya ardhi zimetolewa, ikiwemo utoaji wa hati za miliki za ardhi na utatuzi wa migogoro.
Katika kliniki hiyo, zaidi ya hati 100 za miliki za ardhi zimetolewa kwa...
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi
Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi.
Wito huo umetolewa na Afisa...
TABORA
Wananchi mkoani Tabora wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma za ardhi karibu kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, hatua iliyowawezesha kupata Hati Miliki kwa muda mfupi.
Wakizungumza baada ya kupokea Hati zao, wananchi hao...
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi
Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi.
Wito huo umetolewa na Afisa...
Chunya, Mbeya
Wanawake Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wameonesha mwitikio mkubwa na kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani humo.
Kupitia kliniki hiyo, wanawake takribani 130 wamefika na kupata huduma mbalimbali za ardhi ikiwemo umiliki wa ardhi...
TABORA
Wananchi wa Mkoa wa Tabora wameendelea kunufaika na huduma zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, ambapo jumla ya Hati Miliki za Ardhi zaidi ya 200 zimetolewa kwa wananchi wa Tabora Mjini na Wilaya ya Nzega, hatua inayolenga kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi na kuwawezesha...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi.
Aidha, Chikoka amesema kuwa yeye binafsi atashiriki...
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa kutoa huduma za utatuzi wa migogoro ya ardhi, ushauri wa masuala ya ardhi na elimu kwa umma kuhusu...
Chunya, Mbeya
Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi.
Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
MTWARA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo upimaji, upangaji na umilikishaji.
Uzinduzi huo umefanyika...
MTWARA- Wanawake mkoani Mtwara wameendelea kujitokeza kwa wingi katika Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayofanyika katika Uwanja wa Mashujaa Park, wakifuatilia huduma mbalimbali za ardhi ikiwemo maendeleo ya hati zao.
Kliniki hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
Katika kuelekea wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi mwaka 2026 Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe pamoja na Halmashauri ya Mji zimeanza kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi kwa wananchi katika viwanja vya Mjimwema, mkoani Njombe April 26, 2026.
Akizungumza katika Kliniki hiyo...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma kwenye sekta ya Ardhi kwa Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kila kipande cha ardhi kinapangwa, kinapimwa na kumilikishwa.
Akikabidhi Hati Miliki za ardhi kwa wananchi wa Kata ya Pansiansi Mkoani Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.