Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amegomea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini Septemba 1, 2025, akimtuhumu Jaji Emmanuel Baguma kwa upendeleo. Besigye na mshirika wake, Obed Lutale, walisusia kesi baada ya jaji kukataa kujiondoa kwenye kesi hiyo.
Mawakili wake wanasema...