Paul Simon Singi, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kisanda amehukumiwa kwenda jela Miaka 3 au kulipa faini ya Tsh. 750,000 kwa makosa ya kuomba rushwa ya Tsh. 800,000 na kughushi nyaraka kinyume cha Sheria.
Alifanya uhalifu huo Mei 22, 2023 kwa lengo la kumhalalishia Fabiano Daudi umiliki wa Ardhi...