Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.
Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.
Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO".
Tunapenda kuwatangazia Waamini na Watanzania wote kwa ujumla, kupuuza...
Wakuu,
Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚.
Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.
Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.
Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye...
Mahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa
Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali yake ya kawaida na kuendela na majukumu yake ndani ya kanisa. Pamoja na hayo ameomba Taifa taifa...
Katibu Mkuu BAKWATA Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), linalaani vikali tukio lililotokea jana la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kwa mujibu wa taarifa maalum aliyoitoa leo Alhamisi jioni Alhaj Mruma amevitaka vyombo...
Tukio la kuvamiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Dkt. Charles Kitima, limeibua maswali mengi miongoni mwa waumini na jamii kwa ujumla.
Katika hali hii, ni muhimu kujiuliza maswali kadhaa kuhusu usalama wake na mazingira aliyokuwa akishi.
1. Usalama...
YAH: SALAAM ZA POLE.
Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu lililofanyika na kumdhuru mtumishi wa Baraza.
Shambulio hilo si la Fr. Kitima, si la TEC, wala la Imani ya...
Kwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la...
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.
Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa za maokoto.
Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal.
Tujiandae na matukio ya ajabu.
Nyau de adriz
Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X:
"Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.
Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.
Huu ni Ujumbe wake kwetu....
Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na...