𝐔𝐜𝐡𝐚𝐦𝐛𝐮𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐍𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐚 𝐃𝐚𝐢 𝐥𝐚 “𝐐𝐮𝐫’𝐚𝐧 𝐇𝐚𝐢𝐣𝐚𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐊𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚”
Waislamu wengi hudai kuwa Qur’an ni kitabu pekee cha dini duniani kilichohifadhiwa kikamilifu bila kupotea hata herufi moja tangu kilipoteremshwa.
Hata hivyo, makala hii inalenga kuhoji dai hilo kwa kutumia vyanzo vya Kiislamu...
Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.
Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?.
(Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.