kitabu cha eric kabendera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Mwitikio wa Kitabu cha Eric Kabendera umekuwa tofauti na Matarajio

    Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri. Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina...
  2. J

    Kitabu cha Eric Kabendera ni Ushahidi wa Umbumbumbu wa Waandishi wa Tanzania. Hiyo story ni ya Jombi jambazi wa Mbeya enzi zetu, Lissu jifunze Kitu!

    Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi...
Back
Top Bottom