Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kwenda kuwa wazalendo na nchi yao na kuilinda kwa wivu mkubwa ambapo pia ametoa ahadi ya serikali kuwatumia kwa ajili ya kutazama usalama katika kipindi cha uchaguzi.
DC Kissa...
Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Kissa Kasongwa, ameagiza mkandarasi wa mradi wa maji wa Ipelele kufika ofisini kwake haraka ili kutoa maelezo ya kina juu ya kusuasua kwa utekelezaji wa mradi huo, licha ya serikali kutoa fedha zote zinazohitajika.
Akizungumza baada ya kusikiliza kero za...
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete
DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.